MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA KUHUSIANA NA MKUTANO WA DOWUTA MAKAO MAKUU!

DOWUTA 1 1

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Augustine Phillipo akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Dowuta Makao Makuu.

DOWUTA 1 10

Mwenyekiti wa Dowuta Makao Makuu, Bi. Abiduna akitoa taarifa mbalimbali kuhusiana na Chama kwa Wafanyakazi wa TPA Makao Makuu.

DOWUTA 1 5

Baadhi ya Wafanyakazi na Wanachama wa Dowuta Makao Makuu wakifuatila mambo mbalimbali katika Mkutano huo uliofanyika hivi karibuni.

DOWUTA 1 6

Baadhi ya Wafanyakazi na Wanachama wa Dowuta Makao Makuu wakifuatila mambo mbalimbali katika Mkutano huo uliofanyika hivi karibuni.

DOWUTA 1 7

Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala, Bw. Gabriel Mwita akifafanua jambo kwa Wanachama wa Dowuta.

DOWUTA 1 3

Baadhi ya Wafanyakazi na Wanachama wa Dowuta Makao Makuu wakifuatila mambo mbalimbali katika Mkutano huo uliofanyika hivi karibuni.

DOWUTA 1 8

Mwenyekiti wa Dowuta Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Mashaka Karume akichangia jambo katika Mkutano huo.